DAUDA SHAFFIH AFUNGUKA KUJIENGUA KWAKE

Shaffih  Dauda anasema!!
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

"Unapofanya jambo lazima uangalie mwisho wake kuna manufaa gani? Nimeamua kwa maslahi mapana ya mchezo wa soka na kulinda heshima ya jina langu  kwa nia njema nimeamua kujiuzulu kugombea nafasi ya ujumbe kamati ya utendaji TFF."

"Nitaendelea kushirikiana na Viongozi wa Soka kama hapo awali, kushauri na kutoa maoni yangu kama mdau katika kukuza na kuendeleza mpira wa miguu Tanzania"

  "Kuonyesha uwajibikaji ni jambo Jema! Nipo kwenye mfumo wa Mpira  muda mrefu naijua mizengwe na fitna kuna watu nyuma yangu wanaonitizama ukichafuliwa kwa Rushwa ni kuharibu future yako."

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBARAKA YUSUPH BADO HALI TETE

NIYONZIMA AAHIDI ZAWADI KWA KAZIMOTO