SPORTPESA YAVAMIA UGANDA
ile kampuni nguri ya udhamini imevamia nchini uganda baada ya kuvamia katika ligi ya Tanzania bara na visiwani katika baadhi ya timu kama vile simba yanga na singida hizo ni baadhi ya yimu tu zilizovamiwa na kuvuna mapesa ya sportpesa
rais Yower Mseveni akionesha huodari wake wa kuchezea mpira mchini uganda alipotembelewa na sportpesa
Maoni
Chapisha Maoni