KICHUYA AHOFIA NAMBA
wakati club ya simba ikiendelea na maanadaliazi ya mchezo wa ngao ya hisani dhidi ya mahasimu zao yanga pamoja na maanadalizi ya msimu ujao uko Afrika kusini.
mshambuliaji wa simba Shiza kichuya amefunguka na kusema anahisi msimu ujao itakuwa mgumu kwake kutokana na usajir mpya ndani ya kikosi chao na ujio wa emmanuel Okwi
kichuya anayecheza wingi ya kulia na kushoto amesema kwa sasa simba inawachezaji wa kutosha wa kunyakua makombe na kutesa kimataifa pia kichuya anamsubiri kwa hamu okwi na niyonzima kwani anahamu ya kucheza nao kikosi cja kwanza japo anamuachia kocha ndo anajuwa nani acheze hapa au nani amalize hapa

kichuya
Maoni
Chapisha Maoni