KAULI YA NIYONZIMA LEO HII MAZOEZINI
“Najua kuna chuki na maneno ya kejeli yameanza kusemwa juu yangu lakini mimi sijali, ninachowaza ni namna gani naweza kuipa timu yangu mafanikio kwa sababu ndiyo inayoniweka hapa Tanzania na nitajibu maneno yao kwa kutumia miguu yangu na siyo mdomo,”- Haruna Niyonzima
Toa maoni yako
Maoni
Chapisha Maoni