MASHABIKI SIMBA WAFUNIKA SIMBA DAY
Dar es Salaam . Mashabiki wa Simba wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la klabu yao la Simba Day.
Twende kisport iliwasili Uwanjani hapo saa 1:51 na kushuhudua misururu ya mashabiki wengi wakisubiri kuingia uwanjani.
Ndani ya uwanjani kulishuhudia majukwaa ya mashabiki wa Simba yakiwa yamejaa kufikia saa 8:02 huku mashabiki wakihamia majukwaa ambayo hukaliwa na mashabiki wa Simba.
"Usajili uliofanywa na viongozi unatupa imani kubwa ya kufanya vizuri. Natka kushudia wachezaji wapya kwakuwa nimekuwa nikiwasikia tu kwenye magazeti,"alisema Kudra Musa.
Maoni
Chapisha Maoni