MOO ARENA KUJENGWA KISASA



Kutoka kwa moo
          "Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. 

Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili.

Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. 

Kwa Kuanza naahidi kuchangia Tsh. 2 billioni. Nawaomba wanasimba tuchange sote."

Mohammed Dewji- Rais wa Heshima wa klabu ya Simba

@moodewji 
@simbasctanzania
@wingi_van_moses

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBARAKA YUSUPH BADO HALI TETE

NIYONZIMA AAHIDI ZAWADI KWA KAZIMOTO