NDOA YA MTIBWA NA OMOG IMEKUFA
💥R A S M I
✍️Klabu ya Mtibwa Sugar imeachana na Kocha Mkuu Joseph Omog 🇸🇳 licha ya klabu hiyo kupata ushindi dhidi ya Biashara United hapo jana.
Tetesi zinasema kuwa Mtibwa Sugar wana mpango wa kumchomoa Kocha Mbwana Makata kutoka kunako Klabu ya Dodoma Jiji.
#@wingi_van_moses
Maoni
Chapisha Maoni