Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Twende Kisport Tz

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

Picha
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 28.07.2017 Arsenal wanakaribia kukamilisha usajili wa pauni milioni 45 kumchukua kiungo wa Monaco Thomas Lemar, 21. (Sun) Monaco wamekataa dau la tatu la Arsenal la pauni milioni 44.7 la kumtaka Thomas Lemar. (L’Equipe) Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema hawezi kutoa hakikisho kuwa Gareth Bale atabakia Bernabeu msimu huu, huku Manchester United wakimfuatilia. (Mirror) Monaco watakuwa tayari kumuuza Kylian Mbappe kwa timu itakayokuwa tayari kutoa euro milioni 180. (L’Equipe) Meneja wa Chelsea Antonio Conte anapanga kutoa pauni milioni 50 kuwasajili Ross Barkley, 23, kutoka Everton na Alex Oxlade-Chamberlain, 23, kutoka Arsenal. (Sun) Chelsea wamepanda dau kutaka kumsajili kwa mkopo Renato Sanches, 19, kutoka Bayern Munich. (Daily Telegraph) Meneja wa Tottenham Mauricio Pochetitino anataka kumsajili Ross Barkley na kumfanya kuwa kiungo wa kati. (Times) Roma wanajiandaa kupanda dau jipya la pauni milioni 32 kumtaka winga wa kimatai...