LACAZETTE AFUNGA LAKINI ARSENAL YAPIGWA 2-1 KOMBA LA EMIRATES

LACAZETTE AFUNGA LAKINI ARSENAL YAPIGWA 2-1 KOMBE LA EMIRATES

Mshambuliaji mpya wa Arsenal, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao dakika ya 62 katika kipigo cha 2-1 kutoka kwa Sevilla kwenye mchezo wa Kombe la Emirates, Uwanja wa Emirates mjini London. Mabao ya Sevilla yamefungwa na Joaquin Correa dakika ya 49 na Steven N'Zonzi dakika ya 69

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBARAKA YUSUPH BADO HALI TETE

NIYONZIMA AAHIDI ZAWADI KWA KAZIMOTO