MESSI NA MSUVA WALIVYOPIGA KAZI LEO
Kiungo Mtanzania, Ramadhani Singano 'Messi' akiichezea timu yake mpya, Difaa Hassan El Jadida mchezo wa kirafiki leo nchini Morocco
Winga Mtanzania, Simon Msuva naye alipangwa kwa mara ya kwanza Difaa Hassan El Jadida baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu
Maoni
Chapisha Maoni