KIKUKU CHA TSHISHIMBI CHAWA GUMZO

Kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi amezua minong’ono kwa mashabiki wa soka kutokana na kufunga cheni ‘kikuku’ katika mguu wake wa kushoto.
Tshishimbi aliwaduwaza mashabiki wakati aliposhikuka kwenye basi la Yanga akiwa na wachezaji wenzake na kuingia uwanjani tayari kuivaa Simba.
Kiungo huyo Mkongo alichelewa kujiunga na Yanga kutokana na matatizo yake ya kupata viza, hata kibari chake cha kuanza kuichezea Yanga kilipatikana leo asubuhi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBARAKA YUSUPH BADO HALI TETE

NIYONZIMA AAHIDI ZAWADI KWA KAZIMOTO