NEYMAR KAWA MWENYEJI FASTA

NEYMAR FASTA AANZA MAZOEZI, UTAFIKIRI ALIJIUNGA MUDA MREFU NA PSG


Unaweza ukadhani ni mwenyeji maana Neymar mara moja ameanza mazoezi na kikosi chake kipya cha PSG akionyesha ni mwenye furaha hasa.

Neymar amejiunga na timu hiyo ya Ufaransa kwa dau kubwa la usajili linalokadiriwa kufikia pauni miloni 198 na kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi duniani.

Neymar alionekana mwenye furaha akiwa na Wabrazil wenzake, Luca Moura na Dani Alvez.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBARAKA YUSUPH BADO HALI TETE

NIYONZIMA AAHIDI ZAWADI KWA KAZIMOTO