SIMBA LEO WAICHINJA POLISI DSM 2-1
Kikosi cha Simba leo kimecheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya timu ya Polisi Dar es Salaam ambapo kikosi cha SImba kimeshinda kwa goli 2 - 1.
Magoli ya kikosi cha Simba yamefungwa na Laudit Mavugo pamoja na Mwinyi Kazimoto
Maoni
Chapisha Maoni