MZEE KILOMONI APIGWA CHINI MSIMBAZI
Hizi ni barua zilizotoka kwa Kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa wakili huyo zinazothibitisha mdhamini huyo Mzee Hamis Kilomoni sio mdhamini tena wa klabu yetu ya Simba.
Taarifa hii ilitolewa leo na Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori kwenye mkutano wake na wanahabari.
Casinos Near Me (NJ) - Mapyro
JibuFutaFind Casinos 의왕 출장마사지 Near Me (NJ) with Mapyro 여수 출장마사지 nearby. 과천 출장샵 A casino and hotel is nearby. 포천 출장샵 Casinos Near Me (NJ). Mapyro. 김포 출장샵