WACHEZAJIWA SIMBA WALIOBAKI DSM KWENDA BONDENI MDA WOWOTE
Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba Sc zinasema Nyota wanne wa klabu hiyo ambao waliachwa jiji Dar Es Salaam wakati wenzao wakielekea Afrika Kusini kwenye maandalizi ya msimu mpya tayari wamekamilisha masuala ya Passport zao na muda wowote watasafiri kuwafuata wachezaji wengine. .
.
Nyota hao ni pamoja na Meddie Kagere, Deo Kanda, Francis Kahata na Sharaf Eldin Shoboub
.
Nyota hao ni pamoja na Meddie Kagere, Deo Kanda, Francis Kahata na Sharaf Eldin Shoboub
Maoni
Chapisha Maoni