Machapisho

MZUNGU WA ORLAND PIRATES AMPIGIA SARUTI OKWI

Picha
JOHANNESBURG. Nani anayesema straika wa Simba, Emmanuel Okwi amekwisha, usirudie tena, kwani kocha mkuu wa Orlando Pirates, Kell Jonevret amesema, hajaona kama yeye na akawasifu Wekundu hao wa Msimbazi kwamba watasumbua sana kwenye Ligi ya Tanzania kutokana na maandalizi yao. Kocha huyo ambaye alicheza na Simba na kutumia wachezaji tofauti wa kikosi cha kwanza na cha pili. Alifanya mahojiano na Mwanaspoti ndani ya Uwanja wa Orlando Pirates baada ya mchezo huo kumalizika alisema, “Tumepata majaribio mazuri Simba ni timu nzuri kwani imetupa changamoto kubwa. Hata sisi ndiyo tumeanza maandalizi yetu.” “Tumewafunga bao moja ambalo halikuwa rahisi wametusumbua, walikuwa wazuri na nafikiri tumeweza kuwafunga kwa sababu inaonekana wamefanya mazoezi magumu, wana uchovu, miili imekaza, maumivu madogomadogo na mambo meengine.” “Na huu ndiyo mchezo wao wa kwanza hivyo kitaalamu mazoezi ya pre-season lazima iwe hivyo, kwenye mechi ya pili kutakuwa na mabadiliko nin...

SIMBA YATEUA MRITHI WA MGOSI

Picha
Simba yateua mrithi wa Mgosi 02 Aug 2017, 07:10 pm| By Ally Tego SOKA TANZANIA Klabu ya Simba imemteua Dkt. Cosmas Kapinga kuwa meneja mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Mussa Hassan ‘Mgosi’ ambaye amepangiwa majukumu mengine ndani ya klabu. Taarifa iliyotolewa na mkuu wa habari na mawasiliano wa Simba, Haji Manara, imeeleza kuwa Kapinga ataanza kazi yake mpya mara baada ya kikosi cha Simba kurejea nchini kutoka Afrika Kusini. Manara amesema kuwa Mgosi atakuwa kocha msaidizi na meneja wa timu ya vijana akiwa na Nico Nyagawa ambaye naye atakuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho. Amesema kikosi hicho cha vijana kitaendelea kuwa chini ya kocha mkuu Nico kiondo. Mgosi anatarajia kufanya mafunzo ya ukocha leseni C, ambayo yatampa fursa ya kuongeza ujuzi kwenye majukumu mapya ya ualimu ndani ya timu yetu. Wakati huo huo, benchi la ufundi la timu hiyo limeridhishwa na maandalizi yao nchini Afrika Kusini, ikiwa ni pamoja na jinsi kikosi kilivyocheza jana licha ya kufu...

HAWA NDO WANAUME WA YANGA MSIMU WA 2017-2018

Picha
Hawa ndio wanaume 25 ambao watautetea ubingwa wa VPL wa Yanga katika msimu wa 2017/18! Ukionaje kikosi hiki, wewe mpenzi wa Yanga umeridhika na usajili uliofanywa kipindi hiki cha dirisha la usajili?? Uimara na udhaifu wa kikosi upo kwenye eneo gani?

OMONG ALIANZA NA KIKOSI HIKI MECHI YAKE YA KWANZA

Picha
OMOG ALIANZA NA KIKOSI HIKI MECHI YAKE YA KWANZA, SIMBA IKILALA 1-0 VS ORLANDO HUKO SAUZ 1. Said Mohamed ‘Nduda’ 2. Ali Shomari  3. Jamal Mwambeleko  4. Salim Mbonde  5. Erasto Nyoni  6. Jonas Mkude 7. Jamal Mnyate 8. James Kotei 9. John Bocco  10. Emmanuel Okwi  11. Mohammed Ibrahim

SIMBA YAGONGWA KIMOKO BONDENI

Picha
VIGOGO wa soka Tanzania, Simba SC leo wame wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa kujipima nguvu katika kambi yao ya Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya baada ya kufungwa 1-0 na wenyeji, Orlando Piates mjini Johannesburg. Kwa mujibu wa Msemaji wa Simba SC, Hajji Sunday Manara, Simba inayofundishwa na kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog ilicheza vizuri pamoja na kufungwa. Kipa mpya wa Simba, Aishi Manula (kulia) kutoka Azam FC akiwa kambini Afrika Kusini“Kwa mujibu wa maelezo ya benchi la Ufundi, mchezo ulikuwa mzuri na timu ilicheza vizuri, lakini bahati ilikuwa wenyeji Pirates kupata ushindi huo. Manara alisema Omog anayesaidiwa na Mganda, Jackson Mayanja aliwapa nafasi karibu wachezaji wote leo kucheza, akipanga vikosi viwili tofauti kila kipindi. Simba inatarajiwa kushuka tena dimbani Alhamisi kumenyana na mabingwa wa Afrika Kusini, Bidvest Wits kabla ya kurejea Dar es Salaam tayari kwa mchezo dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda Agosti 8, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ...

UTABIRI WA KIKOSI CHA YANGA

Picha
Bila kupepesa macho hiki ndio kitakuwa kikosi cha kwanza cha yanga msimu wa 2017-2018.... je wewe unaonaje...???